WATALII WA NDANI WALALAMIKIA UBOVU WA BARABARA KATIKA HIFADHI YA TAIFA YA MLIMA KILIMANJARO.##

Magari yaliyokuwa yakitumiwa na watalii wa
ndani waliokuwa wakipanda kwenda kilele cha Shira yakiwa yameegeshwa
baada ya kushindwa kuendelea na safari kutokana na ubovu wa barabara
.
Baadhi ya watalii wa ndani wakiwa eneo la
kambi ya Tembo wakisubiri magari madogo ya hifadhi ya taifa ya mlima
Kilimanjaro (KINAPA) kwa ajili ya kuwachukua kuwapeleka katika hifadhi
hiyo.
Watalii wa ndani walilazimika kupanda magari
ya aina hii ili kufika katika kilele cha Shira.
Safari ya kuelekea kilele cha Shira
ikianza.
Afisa Masoko wa hifadhi ya taifa ya Mlima
Kilimanjaro Antypas Mgungusi akizungumza jambo mbele ya watalii wa
ndani mara baada ya kufika Lango la Londros kwa ajili ya kuanza safari
ya kuelekea kilele cha Shira.
Share on Google Plus

About trustedmishen

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment