KOMBE LA DUNIA 2018 RUSSIA: DROO TAYARI, TANZANIA KUIVAA MALAWI ##

download 3Safari ya kufuzu kucheza Fainali za Kombe la Dunia huko Urusi Mwaka 2018 imeanza rasmi kwa kufanyika kwa Droo ya Mechi za awali h0apo Jana huko St Petersburg, Russia.

Droo ilihusisha Mabara ya Mashirikisho ya FIFA ya Africa, Oceania, South America, Concacaf (North, Central America and the Caribbean) na Europe.

Bara la Asia wao tayari wameanza Nechi zao za Mchujo.
Tanzania inaanza Raundi ya Kwanza kwa kucheza na Malawi na Mshindi wa Mechi hii atakwenda Raundi ya Pili kucheza na Algeria.
ULAYA
KUNDI A
Netherlands, France, Sweden, Bulgaria, Belarus, Luxembourg
KUNDI B
Portugal, Switzerland, Hungary, Faroe Islands, Latvia, Andorra
KUNDI C
Germany, Czech Republic, Northern Ireland,Norway, Azerbaijan, San Marino
KUNDI D
Wales, Austria, Serbia, Republic of Ireland,Moldova, Georgia
KUNDI E
Romania, Denmark, Poland, Montenegro, Armenia, Kazakhstan
KUNDI F
England, Slovakia, Scotland, Slovenia, Lithuania, Malta
KUNDI G
Spain, Italy, Albania, Israel, FYR Macedonia, Liechtenstein
KUNDI H
Belgium, Bosnia-Hercegovina, Greece, Estonia, Cyprus
KUNDI I
Croatia, Iceland, Ukraine, Turkey, Finland

**NCHI 9 ZITAFUZU FAINALI.

**WASHINDI WA PILI 8 WATAACHEZA MCHUJO KUPATA TIMU 4 ZITAKAZOUNGANA NA 9 ZA KWANZA KUCHEZA FAINALI.

AFRIKA
Raundi ya Kwanza
**Mechi za Nyumbani na Ugenini kuchezwa 5 Oktoba na Oktoba 13

Somalia v Niger, South Sudan v Mauritania, Gambia v Namibia, Sao Tome e Principe v Ethiopia, Chad v Sierra Leone, Comoros v Lesotho, Dijibouti v Swaziland, Eritrea v Botswana, Seychelles v Burundi, Liberia v Guinea-Bissau, Central African Republic v Madagascar, Mauritius v Kenya, Tanzania v Malawi

Raundi ya Pili
**Mechi kuchezwa Nyumbani na Ugenini 9 Novemba na 17 Novemba.
Somalia/Niger v Cameroon, South Sudan/Mauritania v Tunisia, Gambia/Namibia v Guinea, Sao Tome e Principe/Ethiopia v Congo, Chad/Sierra Leone v Egypt, Comoros/Lesotho v Ghana, Djibouti/Swaziland v Nigeria, Eritrea/Botswana v Mali, Seychelles/Burundi v Congo DR, Liberia/Guinea-Bissau v Ivory Coast, Central African Republic/Madagascar v Senegal, Mauritius/Kenya v Cape Verde, Tanzania/Malawi v Algeria, Sudan v Zambia, Libya v Rwanda, Morocco v Equatorial Guinea, Mozambique v Gabon, Benin v Burkina Faso, Togo v Uganda, Angola v South Africa
Makundi:
**Timu 20 zitapangwa Makundi 5 ya Timu 4 kila mmoja na Timu ya juu kila Kundi itakwenda Fainali Urusim
CONCACAFF
Raundi ya 3
**Kuchezwa 31 Agosti hadi 8 Septemba.
Curacao v El Salvador, Canada v Belize, Grenada v Haiti, Jamaica v Nicaragua, St Vincent & Grenadines v Aruba, Antigua & Barbuda v Guatemala
KUNDI A
Honduras, Mexico, Curacao/El Salvador, Canada/Belize
KUNDI B
Panama, Costa Rica, Grenada/Haiti, Jamaica/Nicaragua
KUNDI C
Trinidad & Tobago, USA, St Vincent & Grenadines/Aruba, Antigua & Barbuda/Guatemala
OCEANIA
Raundi ya 1 (Makundi)
American Samoa, Cook Islands, Samoa, Tonga
Raundi ya Pilu (Makundi)
KUNDI A
Winner of round one between American Samoa, Cook Islands, Samoa and Tonga. Plus Papua New Guinea, New Caledonia, Tahiti
KUNDI B
New Zealand, Vanuatu, Fiji, Solomon Islands
MAREKANI YA KUSIN8
Colombia, Chile, Paraguay, Argentina, Brazil, Ecuador, Venezuela, Bolivia, Peru, Uruguay

**TIMU 4 ZA JUU ZITAKWENDA URUSI NA YA 5 ITAENDA MECHI YA MCHUJO DHIDI YA TIMU TOKA BARA JINGINE ILI KUPATA MOJA ITAKAYOENDA URUSI.
Share on Google Plus

About trustedmishen

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment