Mkurugenzi wa Idara ya
Ushirikiano wa Kimataifa Diaspora Zanzibar Ndg Adila Hilal Vuai,
akiutambulisha Ujumbe wa Madaktari Diaspora kutoka Washington walioletwa
na Jumuiya ya Watanzania Wanaoishi Washington wakali walipofika katika
Chuo cha Elimu ya Afya Zanzibar walipofika hapo kutowa Elimu ya Afya ya
Saratani ya Matiti na Mano, wakiwa Zanzibar kwa uwenyeji wa Idara ya
Ushirikiano wa Kimataifa Diaspora na Benki ya Watu wa Zanzibar (PBZ)
Rais wa Jumuiya ya Watanzania
Washinton Ndg Iddi Sandaly akiutambulisha Ujumbe wa Madaktari 17
Diaspora, waliofika Zanzibar kutoa Tiba ya Maradhi ya Saratani ya
Matiti, Kisukari na Meno akitowa maelezo wakati walipofika katik Chuo
cha Elimu ya Afya Mombasa Zanzibar, na kutowa Elimu ya kutambua Saratani
ya Matiti kwa Kinamama. na kutowa huduma ya uchunguzi wa Meno.
Rais wa Jumuiya ya Wanawake Afrika Washington (Africa Womens Cancer Awereness Association ) Dr Ify Anne Nwabukwu, akiutambulisha ujumbe wa Madaktari wa maradhi mbalimbali waliowasili Zanzibar kwa ajili ya kutowa huduma kwa wananchi wa Zanzibar ikiwa ni kusaidia Wafrika wenzao walioko Afrika.
Wanafunzi wa Chuo cha Elimu ya
Afya Zanzibar wakimsikiliza Dr Ify akitowa maelezo na kuwatambulisha
Madaktari Diaspora aliofuatana nao.
Dr Ify Anne Nwabukwu akitowa
Elimu ya tambua viashiria vya Saratani ya Matiti kwa wanafunzi hao wa
Chuo cha Elimu ya Afya Zanzibar,
0 comments:
Post a Comment