Timu ya kampeni za
urais za Hillary Clinton imeikashifu vikali wizara ya maswala ya kigeni
ya Marekani kwa kuzuia kutolewa kwa baadhi ya barua pepe za Clinton
zenye siri, hata baada ya kutangazwa kuwa si za siri kali
Wizara ya maswala ya kigeni imesema kuwa barua pepe hizo zimetangazwa tena kuwa za siri kali baada ya ombi la maafisa wa ujasusi.
Utata kuhusu matumizi ya barua pepe za binafsi wakati bi clinton alipokiwa waziri wa mambo ya nje umekuwa ukitatiza kampeni zake za kupeperusha bendera ya chama cha Democratic katika uchaguzi wa urais wa Marekani mwakani.
0 comments:
Post a Comment