ORODHA KAMILI YA WASHINDI WA TUZO ZA BINGWA ZA KENYA, DIAMOND AMESHINDA MSANII WA MWAKA

Tuzo za za Bingwa (2015) za nchini Kenya zimetolewa Ijumaa hii (Jan 29)
jijini Nairobi, Kenya ikiwa ni mara yake ya pili kufanyika.

Bingwa Awards

Miongoni mwa wasanii wa Tanzania waliokuwa wakichuana kwenye kipengele
cha ‘Msanii wa Mwaka Tanzania’ kwenye tuzo hizo ni pamoja na Diamond,
Alikiba, Vanessa Mdee, Joh Makini, Ommy Dimpoz na Lady Jaydee. Diamond
ndiye ameibuka mshindi wa kipengele hicho.

Hii ni orodha kamili ya washindi:

*East Africa Artist of The Year* – Sauti Sol

*Artist of The Year Kenya* – The Kansoul

*Artist of The Year* – Bahati

*New Artist of The Year* – Dufla Diligon

*Songwriter of The Year* – Visita

*Artist of The Year Tanzania* – Diamond Platnumz

*Artist of The Year Uganda* – Cindy Sanyu

*Artist of The Year South Sudan* – Mary Boyoi

*Artist of The Year Rwanda* – Knowless

*Dialect Artist of The Year* – Ken wa Maria

*Performer of the Year* – H Art The Band

*Ever Relevant Artist of The Year* – Wyre

*Showbiz writer of The Year* – Manuel Ntoyai ; The People Daily.

*Showbiz Personality of The Year* – Willis Raburu

*Showbiz Magazine of The Year* – Pulse Magazine

*East Africa DJ of The Year*– Dj Joe Mfalme

*Deejay of The Year* – Deejay Crossfade

*Video of The Year* – Papa Dennis

*Video Director of The Year *– Enos Olik

*Entertainment Site of The Year* – Mpasho

*Come Back of The Year* – Octopizzo

*Album of The Year* – Legends of Kaka -King Kaka

*Song of The Year *– Fimbo ya Tatu-Grandpa

*Verse of The Year *– Gabu -P-Unit

*Radio Station Of the Year*– Radio Maisha

*Radio Presenter Of The Year*– Rashid Abdalla – Qfm

*East African Comedian Of The Year* -Jalango’o

*Legendary Award Of The Year*– Fred Obachi Machoka; Radio Citizen

*EAST AFRICAN Record label of the year*– Grandpa Records
Share on Google Plus

About trustedmishen

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment