Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa akiongoza mbio za Wabunge Hapa Kazi Tu Dodoma
Half Marathon zilizoanzia Bungeni hadi uwanja wa Jamhuri mjini Dodoma
Januari 30, 2016. Kushoyo kwake ni Waziri wa Habari,Utamaduni, Sanaa na
Michezo, Nape Nnauye na kushoto ni Naibu Spika wa Bunge, Dkt Tulia
Ackson. Mwansasu.
Mmoja wa wapigapicha
walioshiriki mbio za Hapa Kazi Tu Dodoma Half Marathon alilazimika
kuomba msaada kwa askari wa usalama barabarani Mjini Dodoma Januari 30,
2016..
Baadhi ya Washiriki wa mbio za Hapa Kazi Tu Dodoma Half Marathon wakishiriki mmbio hizo mjini Dodoma Januari 30, 2016.
Mbunge wa Mbulu Vijijini,Fratei
Massay akifanya mazoezi kabla ya kuanza mbio za Hapa Kazi Tu Dodoma Half
Marathon kwenye uwanja wa Jamhuri mjini Dodoma Januari 30, 2016.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa
akimkabidhi zawadi ya Pikipiki mshindi wa kwanza upande wa wanawake wa
Mbio za Hapa Kazi Tu Dodoma Half Marathon, Angela Davile (kulia) kwenye
uwanja wa Jamhuri mjini Dodoma Januari 30, 2016.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa
akimkabidhi ufunguo wa pikipiki mshindi wa kwanza wa mbio za Hapa Kazi
Tu Dodoma Half Marathon upande wa wanaume, Emmanuel Giriki kwenye
uwanja wa Jamhuri mjini Dodoma Januari 30, 2016.
Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa akiwa katika picha ya pamoja na wafanyakazi wa
Benki ya CRDB tawi la Dodoma ambao wamedhamini pambano la mpira wa
miguu kati ya wabunge na benki hiyo kwenye uwanja wa Jamhuri Januari
30,2016. Benki hiyo pia ilitoa vifaa vya michezo kwa timu ya Bunge.
(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)








0 comments:
Post a Comment