ALIKIBA NA SAUTI SOL WASHOOT VIDEO YAO MOMBASA

Hatimaye Alikiba na Sauti Sol wameshoot video ya collabo yao.


Video hiyo imefanyika wiki hii mjini Mombasa, Kenya. Kampuni ya GorillaFilms iliyochini ya muongozaji Justin Campos na mke wake Candice,ilisafiri hadi Mombasa kwaajili ya kushoot video hiyo.

Candice alishare picha ya behind the scenes kwenye Instagram na
kuandika: /Guess what we have been up to? @sautisol @iamchimano
@bienaimesol @officialalikiba @gorilla_films @icandicam #Mombasa #kenya [movie_camera] [sunglasses] #onset #setlife #tanzania #africa #anotherone./

Collabo hiyo ilifanyika mwaka jana jijini Nairobi, Kenya.
Share on Google Plus

About trustedmishen

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment