Mchezaji wa
Manchester United, Memphis Depay alikuwa akihusishwa sanakuwa na uhusiano
na model Karruche Train liyekuwa mpenzi wa staa wa R&BChris Brown,
lakini sasa hivi inasemekana amepoa kwa mtoto wa mchekeshaji
maarufu Marekani, Steve Harvey. Mrembo huyo anaitwa Lori.
Hizi ni baadhi ya
picha za mrembo huyo:
![]() |
| Memphis Depay na mpenzi wake Lori hivi karibuni |
![]() |
| Lori akiwa na Baba ake Steve Harvey ambaye ni mchekeshaji maarufu |







0 comments:
Post a Comment