HILI NDIO GOLI LA SAMATTA LILILOIPA TAIFA STARS POINT TATU DHIDI YA CHAD

March 23 2016 Taifa Srars ilicheza na Chad katika uwanja waIdriss Mahamat Chad, Taifa Stars ikiwa ugenini, ilifanikiwa kuibuka na ushindi wa goli 1-0, goli ambalo lilifungwa na nahodha wa timu hiyo Mbwana Samatta dakika ya 30 baada ya kupokea krosi safi kutoka kwa Farid Musa..

Share on Google Plus

About trustedmishen

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment