RAIS DR.SHEIN AKILA KIAPO CHA UAMINIFU NA UWAJIBIKAJI MBELE YA JAJI MKUU WA ZANZIBAR/KUKAGUA GWARIDE/NA MIKAKATI MIPYA KWA SERIKALI YAKE

Rais Dr.Shein akila kiapo cha uaminifu na uwajibikaji kwaajili ya mbele ya jaji mkuu wa Zanzibar. Baada ya zoezi la kula kiapo kumalizika, rais Shein anaenda katika jukwaa maalum na kukagua vikosi vya majeshi ya usalama. Sikiliza alichokizungumza rais Shein kuhusiana na uchaguzi mkuu wakati akihutubia wananchi baada ya kuapishwa. Suala la maadili kwa watumishi na kuimarisha amani na utulivu visiwani Zanzibar ni miongoni mwa mambo aliyoyapa kipaumbele rais Shein.
Share on Google Plus

About trustedmishen

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment