NDEGE YAANGUKA NA KUWAUWA ABIRIA 62 URUSI

Image copyrightReuters
Image captionNdege ya Flydubai
Ndege ya abiria iliyokuwa na watu 62 imeanguka ilipukuwa ikitua katika mjini ulio kusini mwa Urusi wa Rostov-on-Don.
Hakukuwa na manusura kati ya abiria 55 na wahudumu saba waliokuwa ndani ya ndege hiyo.
Ndege hiyo aina ya Boeng 737 iliyokuwa ikitoka Dubai ilimilikiwa na shirika la Flydubai.
Image copyrightAFP
Image captionNdege ya Flydubai ilioanguka nchini Urusi
Ndege hiyo ilizunguka kwa karibu masaa mawili kabla ya kufanya jaribio la pili la kutua kufutia hali mbaya ya hewa.
Ilianguka mita mia kadha kutoka kwa barabara ya uwanja ambapo ilivunjika na kushika moto.

Share on Google Plus

About trustedmishen

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment