Maafisa nchini Pakistan wamewasha karibu kamera 2000 za teknolojia ya juu katika mji mkuu Islamabad.
Kamera hizo zimetundikwa kwenye majengo ya serikali na maeneo ya kibiashara kote mjini humo.
Kamera hizo zitafuatiliwa kutoka kwa kituo kipya kilichopewa jina (bomb-Proof).
Mradi huo uliofadhiliwa na kampuni ya kichina ya Huawei, ulichukua muda wa miaka saba kukamilika na umekumbwa na kashfa za ufisadi.
0 comments:
Post a Comment