NIGER YATANGAZA SIKU 3 ZA MAOMBOLEZI

Utawala nchini Niger umetangaza siku tatu za maombolezi ya kitaifa kwa wanajeshi waliouawa na wapiganaji wa kundi la Boko Haram kwenye mji wa Bosso ulio karibu na mpaka kati ya nchi hiyo na Nigeria.
Wanajeshi 26 kutoka Niger na mafisa wawili kutoka Nigeria waliuawa wakati wa shambulizi hilo la siku ya Ijumaa.
Zaidi ya wanajeshi 100 pamoja na raia pia walijeruhiwa.
Karibu wapiganaji 58 wa Boko Haram nao waliuawa wakati walijaribu kuuteka mji wa Bosso.
Share on Google Plus

About trustedmishen

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment