Kampuni Ya King Lion Motorcycle Dar es salaam Tanzania Yakabidhi Gari La Matangazo Kwa Polisi Kikosi Cha Usalama Barabarani Kuelekea Wiki Ya Nenda Kwa Usalama

Jeshi la polisi kikosi cha usalama barabarani  wamepokea gari lililotolewa na kampuni ya uuzaji wa pikipiki aina ya king lion motorcycle likalotumika katika kutoa elimu kwa njia ya matangazo na burudani kwa kutembea sehemu mbalimbali kuanzia dar es salaam kuelekea mkoani kilimanjaro ambapo ndipo kilele cha maadhimisho ya nenda kwa usalama yatakapofanyika kitaifa.


Mbali na gari hilo kampuni hiyo ya king lion wamejipanga kutoa zawadi mbalimbali zitakazo safirishwa na gari hilo ambazo zinatarajiwa kutolewa katika kilele cha maadhimisho hayo mkoani kilimanjaro.






Share on Google Plus

About trustedmishen

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment