Kampuni Ya Kinglion Tanzania Imetoa Zawadi Ya Pikipiki Kumi Kwa Jeshi La Polisi Tanzania Katika Sikukuu Ya Wapendanao (Valentine Day).

Manager Wa Kinglion (Kushoto) Bw. Arnold Lyimo na Kamishna wa Operesheni na Mafunzo ya Jeshi la polisi, CP Liberatus Sabas (Kulia)
Kampuni Ya Kinglion Tanzania Katika Kujitoa Kwa Jamii  Kwa Siku Yawapendao  Imetoa Zawadi Ya Pikipiki Kumi Kwa Jeshi La Polisi Tanzania.

Lengo la zawadi hizo ni kulisaidia jeshi hilo kuweza kukabiliana na vitendo vya kiualifu kwa uharaka na ufanisi zaidi.







Mkurugenzi Wa Kinglion (Kushoto) na Kamishna wa Operesheni na Mafunzo ya Jeshi la polisi, CP Liberatus Sabas (Kulia)





Share on Google Plus

About trustedmishen

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment