TAPELI WA PLATE NUMBER USIDHUBUTU KUTUMAPESA ILI UFANYIWE KAZI YAKO!!

Biashara ya Mitandaoni imekuwa kubwa na imewapa fulsa vijana wengi kwa namna moja au nyingine

Lakini kulingana na ukubwa wake huo kuna baadhi ya watu/wafanya biashara wa mitandao ambao sio wa aminifu hivyo napenda kuwa taarifu kuwa baadhi ya hao wasio wa aminifu ni pamoja na huyu  Mr Karimu Sareva mwenye namba ya simu 0688 731 376 amekuwa akiwatapeli na kujikusanyia pesa kwa njia ya udanganyifu wateja wenye mahitaji ya plate number za magari za kawaida au zile za 3d.

Huku akijinasibu kuwa anafanya kazi kwa uaminifu unachopaswa kufanya ni kutuma detail za kadi ya gari na pesa husika ili uweze kufanyiwa kazi.

Matokeo yake ukishafanya muamala hakupokelei simu na pesa anakuwa ameshazitoa.

Ukimuhitaji muonane ofisini atakudanganya anapatikana mwenge au posta  ila ukifika eneo husika ukimtafuta hapokei simu au anakudanganya kuwa ametoka ofisini hivyo atangunganisha na mtu mwengine.

Hivyo yote kwa yote

Kwa yeyote anayehitaji Plate number za chap chap Ukiingia kwa huyu jamaa

Umetapeliwa

INSTAGRAM ANATUMIA JINA: @PLATE_NUMBER_TZ

USIDHUBUTU KUTUMAPESA ILI UFANYIWE KAZI YAKO!!

+255688731376 @platenumbertz @plate_number_tz #platenumbertz #platenumbertz #platenumber #platenumberzamagari #platenumber3d #plate3d #3d #KARIMU #KARIMUSAREVA #karimusareva #sareva






Share on Google Plus

About trustedmishen

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment