Akizungumza LEO,Kocha Chippo amesema kuwa kuelekea mechi hiyo hakuna hata mchezaji mmoja ambaye ni majeruhi hivyo wana uhakika wa kuhakikisha wanapata matokea mauziri kwenye mechi hiyo.
Coastal Union iliwasilia mkoani Mbeya juzi ambapo leo ilifanya mazoezi yake kwenye uwanja wa soka Polisi na uwanja wa Sokoine mkoani Mbeya ikiwa kwenye maandalizi ya mwisho kabla ya kuvaana na wapinzani wao hao.
“Sisi tunapambana kuhakikisha matokeo mazuri yanapatikana kwa sababu hilo ndilo lengo letu kuu hii inatokana na usajili wa nguvu tulioufanya msimu huu na umakini wa wachezaji tuliokuwa nao “Amesema
Chippo.
Coastal Union itavaana na Mbeya City kesho kwenye uwanja huo ikiwa ni muendelezo wa Ligi kuu soka Tanzania bara ambapo mchezo wa kwanza ilicheza na Simba SC kwenye uwanja wa Taifa na kutoka sare ya
kufungana mabao 2-2.
Kwa upande wake,Kocha wa makipa,Razack Siwa amesema kwenye idara yake
hiyo.
0 comments:
Post a Comment