
Mwana muziki wa kimataifa wa miondoko ya Hip hop ambaye pia
ni mtayarishaji wamuziki na pia mwigizaji na mwekezaji,Clifford joseph Harris
jr , alimaarufu kama T.I amethibitishwa rasmi na kampuni ya Serengeti
breweries kama mwanamuziki wa kimataifa atakayetumbuiza katika kilele
cha shangwe za Serengeti fiesta zitakazo fanyika jijini dar es salaam
October 18 mwaka huu.
Akizungumza na waandishi wa habari jijini
dar es salaam mkurugenzi wa masoko wa Serengeti breweries Ibraim
mafuru amasema kuwa wametia saini na mwanamuziki huyo kwaajili ya
kutumbuiza jukwaa la serengeti kwa mwaka huu kwasababu ni msanii mkubwa ambaye ..
![]() |
| Mkurugenzi wa Masoko wa Kampuni ya Bia ya Serengeti (SBL),Ephraim Mafuru na Meneja Masoko wa Kampuni hiyo Allan Chonjo |
PATA TAARIFA ZAIDI
Kwa
upande wake mkurugenzi wa prime time promotion Ruge mutahaba amesema
kuwa wameamua kumleta msanii T.Ikwa kuwa wanaelewa nini watanzania
wanataka
Zaidi na mutahaba
PATA TAARIFA ZAIDI


0 comments:
Post a Comment