UTABIRI WA HALI YA HEWA KWA MUDA WA SAA 24 ZIJAZO KUANZIA SAA 3:00 USIKU WA LEO 24/09/2014 ##



[ UTABIRI HUU UNAHUSU MKOA WA TANGA NA MAENEO JIRANI ]

 LEO USIKU:

Wilaya ya Tanga: Hali ya mawingu kiasi na mvua nyepesi katika maeneo machache.
Wilaya ya Muheza: Hali ya mawingu kiasi na mvua nyepesi katika maeneo machache.
Wilaya ya Pangani: Hali ya mawingu kiasi na mvua nyepesi katika maeneo machache.
Wilaya ya Korogwe: Hali ya mawingu kiasi na mvua nyepesi katika maeneo machache.
Wilaya ya Lushoto: Hali ya mawingu kiasi na mvua nyepesi katika maeneo machache.
Wilaya ya Handeni: Hali ya mawingu kiasi na mvua nyepesi katika maeneo machache.
Wilaya ya Kilindi: Hali ya mawingu kiasi na mvua nyepesi katika maeneo machache.

KESHO MCHANA
Wilaya ya Tanga: Hali ya mawingu kiasi, mvua nyepesi katika maeneo machache na vipindi vya jua.
Wilaya ya Muheza: Hali ya mawingu kiasi, mvua nyepesi katika maeneo machache na vipindi vya jua.
Wilaya ya Pangani: Hali ya mawingu kiasi, mvua nyepesi katika maeneo machache na vipindi vya jua.
Wilaya ya Lushoto: Hali ya mawingu kiasi, mvua nyepesi katika maeneo machache na vipindi vya jua.
Wilaya ya Handeni: Hali ya mawingu kiasi, mvua nyepesi katika maeneo machache na vipindi vya jua.
Wilaya ya Kilindi: Hali ya mawingu kiasi, mvua nyepesi katika maeneo machache na vipindi vya jua.


[Mikoa ya Morogoro, Dar es Salaam na Pwani]:
[Visiwa vya Unguja na Pemba]:


Hali ya mawingu kiasi, mvua nyepesi katika maeneo machache na vipindi vya jua.
[Mikoa ya Kilimanjaro, Arusha na Manyara]:
[Mikoa ya Dodoma na Singida]:

Hali ya Mawingu kiasi na vipindi vya jua.
      
VIWANGO VYA JOTO, MAWIO NA MACHWEO YA JUA.
MIJI
KIWANGO CHA JUU
KIWANGO CHA CHINI
MAWIO
MACHWEO
Tanga
30°C
22°C
12:14
12:20
Muheza
29°C
22°C
12:14
12:20
Pangani
28°C
21°C
12:14
12:20
Lushoto
23°C
13°C
12:14
12:20
Korogwe
26°C
19°C
12:14
12:20
Handeni
28°C
17°C
12:18
12:24
Kilindi
27°C
18°C
12:14
12:20

Utabiri huu umetolewa leo tarehe 24/09/2014.

Na: MAMLAKA YA HALI YA HEWA TANZANIA.





Share on Google Plus

About trustedmishen

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment