[UTABIRI HUU UNAHUSU MKOA WA TANGA NA MAENEO JIRANI]
LEO USIKU:
Wilaya ya
Tanga: Hali ya mawingu kiasi na mvua nyepesi katika maeneo machache.
Wilaya ya
Muheza: Hali ya mawingu kiasi na mvua
nyepesi katika maeneo machache.
Wilaya ya
Pangani: Hali ya mawingu kiasi na mvua
nyepesi katika maeneo machache.
Wilaya ya
Korogwe: Hali ya mawingu kiasi na mvua
nyepesi katika maeneo machache.
Wilaya ya
Lushoto: Hali ya mawingu kiasi na mvua nyepesi katika maeneo machache.
Wilaya ya
Handeni: Hali ya mawingu kiasi na mvua nyepesi katika maeneo machache.
Wilaya ya
Kilindi: Hali ya mawingu kiasi na mvua nyepesi katika maeneo machache.
KESHO MCHANA
Wilaya ya
Tanga: Hali ya mawingu kiasi, mvua nyepesi katika maeneo machache
na vipindi vya jua.
Wilaya ya
Muheza: Hali ya mawingu kiasi, mvua nyepesi katika maeneo machache
na vipindi vya jua.
Wilaya ya
Pangani: Hali ya mawingu kiasi, mvua nyepesi katika maeneo machache
na vipindi vya jua.
Wilaya ya
Lushoto: Hali ya mawingu kiasi, mvua nyepesi katika maeneo machache
na vipindi vya jua.
Wilaya ya
Handeni: Hali ya mawingu kiasi, mvua nyepesi katika maeneo machache
na vipindi vya jua.
Wilaya ya
Kilindi: Hali ya mawingu kiasi, mvua nyepesi katika maeneo machache
na vipindi vya jua.
[Mikoa ya Morogoro, Dar es
Salaam na Pwani]:
[Visiwa vya Unguja na Pemba]:
|
![]() |
Hali ya mawingu kiasi, mvua
nyepesi katika maeneo machache na vipindi vya jua.
|
[Mikoa ya Kilimanjaro, Arusha
na Manyara]:
[Mikoa ya Dodoma na Singida]:
|
![]() |
Hali ya Mawingu kiasi na
vipindi vya jua.
|
VIWANGO VYA JOTO, MAWIO NA MACHWEO YA JUA.
MIJI
|
KIWANGO CHA JUU
|
KIWANGO CHA CHINI
|
MAWIO
|
MACHWEO
|
Tanga
|
30°C
|
22°C
|
12:14
|
12:20
|
Muheza
|
28°C
|
22°C
|
12:14
|
12:20
|
Pangani
|
27°C
|
23°C
|
12:14
|
12:20
|
Lushoto
|
22°C
|
13°C
|
12:14
|
12:20
|
Korogwe
|
26°C
|
19°C
|
12:14
|
12:20
|
Handeni
|
29°C
|
17°C
|
12:18
|
12:24
|
Kilindi
|
27°C
|
18°C
|
12:14
|
12:20
|
Utabiri huu umetolewa leo
tarehe 25/09/2014.
Na: MAMLAKA YA HALI YA HEWA TANZANIA.
0 comments:
Post a Comment