FAHAMU HALI YA HEWA KWA MUDA WA SAA 24 ZIJAZO KUANZIA SAA 3:00 USIKU WA LEO 10/10/2014. ##

UTABIRI WA HALI YA HEWA KWA MUDA WA SAA 24 ZIJAZO KUANZIA SAA 3:00 USIKU WA LEO 10/10/2014. [Utabiri huu unahusu mkoa wa Tanga na maeneo jirani]
LEO USIKU:
Wilaya ya Tanga: Hali ya mawingu kiasi, mvua nyepesi katika maeneo machache.
Wilaya ya Muheza: Hali ya mawingu kiasi, mvua nyepesi katika maeneo machache.
Wilaya ya Pangani: Hali ya mawingu kiasi, mvua nyepesi katika maeneo machache.
Wilaya ya Korogwe: Hali ya mawingu kiasi, mvua nyepesi katika maeneo machache.
Wilaya ya Lushoto Hali ya mawingu kiasi, mvua nyepesi katika maeneo machache.
Wilaya ya Handeni Hali ya mawingu kiasi, mvua nyepesi katika maeneo machache.
Wilaya ya Kilindi: Hali ya mawingu kiasi, mvua nyepesi katika maeneo machache.

KESHO MCHANA
Wilaya ya Tanga: Hali ya mawingu kiasi, mvua nyepesi katika maeneo machache na vipindi vya jua.
Wilaya ya Muheza: Hali ya mawingu kiasi, mvua nyepesi katika maeneo machache na vipindi vya jua.
Wilaya ya Pangani: Hali ya mawingu kiasi, mvua nyepesi katika maeneo machache na vipindi vya jua.
Wilaya ya Lushoto: Hali ya mawingu kiasi, mvua nyepesi katika maeneo machache na vipindi vya jua.
Wilaya ya Handeni: Hali ya mawingu kiasi, mvua nyepesi katika maeneo machache na vipindi vya jua.
Wilaya ya Kilindi: Hali ya mawingu kiasi, mvua nyepesi katika maeneo machache na vipindi vya jua.


[Mikoa ya Kilimanjaro, Arusha na Manyara]:
[Mikoa ya Dar es Salaam, Morogoro na Pwani]:
[Visiwa vya Unguja na Pemba]:


Hali ya mawingu kiasi, mvua nyepsi katika maeneo machache na vipindi vya jua.
[Mikoa ya Dodoma na Singida]:

Hali ya mawingu kiasi na vipindi vya jua.
      

VIWANGO VYA JOTO, MAWIO NA MACHWEO YA JUA.
MIJI
KIWANGO CHA JUU
KIWANGO CHA CHINI
MAWIO
MACHWEO
Tanga
31°C
23°C
12:07
12:15
Muheza
30°C
20°C
12:07
12:15
Pangani
29°C
18°C
12:07
12:15
Lushoto
23°C
14°C
12:07
12:15
Korogwe
28°C
18°C
12:07
12:15
Handeni
30°C
20°C
12:10
12:19
Kilindi
23°C
19°C
12:07
12:15

Utabiri huu umetolewa leo tarehe 10/10/2014.

Na: MAMLAKA YA HALI YA HEWA TANZANIA.
Share on Google Plus

About trustedmishen

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment