LILE TUKIO LILILOTEKA HISIA ZA WANANCHI WA JIJI LA TANGA MNAMO TAREHE 13/9/2014 KWA KUNYONGWA KWA BLANDINA BENDERA HUKO BARABARA YA TATU HATIMAYE WATUHUMIWA HAO WAMEKAMATWA. ##

Akiwataja watuhumiwa hao kamanda wa jeshi la polisi mkoa wa Tanga Fresser Kashài amesema  ni pamoja na Adrew Augustino mwenye umri wa  miaka 28 na mwenzako Jesse Kajuna mwenye umri wa  miaka 30 wote wakiwa ni wakazi wa jiji la  Tanga.

Aidha  kamanda  amesema kuwa watuhumiwa hao wametiwa mbaroni na watafikishwa mahakamani kujibu shitaka hilo.

Jeshi la polisi mkoa wa tanga linatoa rai kwa wananchi wote kuendelea kutoa ushirikiano kwa kuwafichua wahalifu wote kwenye maeneo yao wanayoishi ili wananchi wema ambao ndiyo walio wengi waendelee na shughuli zao za kujiletea maendeleo bila bughudha.
Share on Google Plus

About trustedmishen

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment