HAINA KUFELI @IZZO_BIZNESS FEAT @ GNAKOWARAWARA ni wimbo mpya
kutoka kwa izo bizness wimbo wa tatu kwa mwaka huu wa 2014 ukianza na tumogele
ikafuata walala hoi na hii ya HAINA KUFELI
Maana ya wimbo wake wa HAINA KUFELI ni nyimbo ambayo
inawahusu watanzania walio katika maisha ya kawaida hii ni kama motivation kwao kwa wale walio na
ndoto za kufika mbali kupambana kama ukihitaji kuwa mwanamuziki,mcheza mpira
mtangazaji ,mwanamitindo lazima upambane kufika pale ambapo unahitaji
kufika lengo ni kusimama kwa kauli moja
kwa hicho unachohitaji kukufanya ukiamini hutoshindwa.
Kwa upande wake izo b ameleza kuwa changamoto kubwa inayomkabili kufanya video na madirector wa nje na location za nje ni kutokana na kuwa wingi wa mambo na kuhitajika kujipanga ila nae anatamani kufanya hivyo kwasababu anaamini kuwa hata m buyu ulianza kama mchicha kwa hiyo ni mipango yake hivyo bado anazichanga ili kufanya kazi bora zaidi.

Kama uliusikiliza wimbo huu kwa upande wa kiitikio alipiga G WARAWARA kutoka katika kundi la WEEUSI yeye anazungumziaje baada ya kuwa moja kati
ya wasanii walionekana kupewa kolabo nyingi kwa
mwaka huu 2014
0 comments:
Post a Comment