MECHI za Makundi ya kuwania kucheza Fainali za Kombe la Mataifa ya Ulaya huko France Mwaka 2016, EURO 2016, zitaendelea tena Leo Novemba 14.

Mechi nyingine za Kundi D ni kati ya Georgia na Poland na ule mtanange mkali kati ya Scotland na Republic of Ireland.
Kwenye Kundi D, Poland na Republic of Ireland zipo kileleni zikiwa na Pointi 7 kila mmoja na kufuatiwa na Germany na Scotland, zenye Pointi 4 kila mmoja, kisha inafuata Georgia yenye Poitni 3 na Gibraltar ikiwa mkiani bila Pointi.
leo , Mchezaji Bora Duniani, Cristiano Ronaldo, ataiongoza Portugal, wakiwa nyumbani, kucheza na Armenia.
Portugal wako Kundi I na wanashika Nafasi ya 3 wakiwa na Pointi 3 huku juu yao wakiwa Denmark na Albania ambazo zina Pointi 4 kila mmoja.
wakati Denmark iko ugenini kucheza na Serbia ambao wako Nafasi ya 4 wakiwa na Pointi 3.
Mechi nyingine za EURO 2016 zitachezwa kesho Jumamosi na Jumapili.
Ijumaa Novemba 14
2000 Georgia v Poland
2245 Germany v Gibraltar
2245 Greece v Faroe Islands
2245 Hungary v Finland
2245 Portugal v Armenia
2245 Romania v Northern Ireland
2245 Scotland v Republic of Ireland
2245 Serbia v Denmark
Jumamosi Novemba 15
2000 Austria v Russia
2000 England v Slovenia
2000 Luxembourg v Ukraine
2000 Moldova v Liechtenstein
2000 San Marino v Estonia
2245 Macedonia v Slovakia
2245 Montenegro v Sweden
2245 Spain v Belarus
2245 Switzerland v Lithuania
Jumapili Novemba 16
2000 Azerbaijan v Norway
2000 Belgium v Wales
2000 Cyprus v Andorra
2000 Netherlands v Latvia
2245 Bulgaria v Malta
2245 Czech Republic v Iceland
2245 Israel v Bosnia and Herzegovina
2245 Italy v Croatia
2245 Turkey v Kazakhstan
UEFA EURO 2016-Kalenda:
Mechi za Makundi:
MECHI DEI 1: 7–9 Septemba 2014
MECHI DEI 2: 9–11 Oktoba 2014
MECHI DEI 3: 12–14 Oktoba 2014
MECHI DEI 4: 14–16 Novemba 2014
MECHI DEI 5: 27–29 Machi 2015
MECHI DEI 6: 12–14 Juni 2015
MECHI DEI 7: 3–5 Septemba 2015
MECHI DEI 8: 6–8 Septemba 2015
MECHI DEI 9: 8–10 Octoba 2015
MECHI DEI 10: 11–13 Octoba 2015
MECHI za MCHUJO: 12–14 Novemba 2015
MECHI za MCHUJO-Marudiano: 15–17 Novemba 2015
Droo kwa ajili ya Mechi za Fainali: 12 Decemba 2015
FAINALI (France): 10 Juni–10 Julai 2016
0 comments:
Post a Comment