NEW MUSIC: LAWIZE FT NEYBA _HAWANA WEMA YAPOKELEWA VYEMA NA WADAU WA BONGO BAB KUBWA TANGA ##

Lawize ametambulisha wimbo wake kwa mara ya kwanza kwa wakazi wa tanga kupitia bongo bab kubwa Mwambao Fm Tanga.

Hii ni project  yake ya tatu ya kwanza ilikuwa ya Turuke aliyofanya na Tunda Man na nyingine ni ya ugali na dagaa aliyofanya na Abdu Kiba.

" Hawana wema ni ngoma ambayo nimebadilika  wengi wamenizoea nikiwa na imba ila for this  time nimebadilikia nimekuja kwenye kuchana kwahiyo kunautofauti mkubwa sana amesema Lawize"

Unaweza ukamsikiliza zaidi hapo chini 


Wimbo huu  mpya kutoka kwa Lawize amemshirikisha Neyba wimbo unaitwa “Hawana Wema” Studio Mazuu Records






Share on Google Plus

About trustedmishen

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment