WIZARA YA UCHUKUZI
MAMLAKA YA HALI YA HEWA
TANZANIA
S.L.P.3056, DAR-ES-SALAAM
TELEFAX-2460772
UTABIRI WA HALI YA HEWA KWA MUDA WA SAA 24 ZIJAZO
KUANZIA SAA 3:00 USIKU WA LEO 20/03/2015.
[Utabiri huu unahusu mkoa wa Tanga na maeneo
jirani]
LEO USIKU:
Wilaya ya Tanga: Inatarajiwa kuwa na hali ya mawingu, mvua
na ngurumo katika baadhi ya maeneo.
Wilaya ya Muheza: Inatarajiwa kuwa na hali ya mawingu, mvua
na ngurumo katika baadhi ya maeneo.
Wilaya ya Pangani: Inatarajiwa kuwa na hali ya mawingu, mvua
na ngurumo katika baadhi ya maeneo.
Wilaya ya Korogwe: Inatarajiwa kuwa na hali ya
mawingu, mvua na ngurumo katika baadhi ya maeneo.
Wilaya ya Lushoto: Inatarajiwa kuwa na hali ya
mawingu, mvua na ngurumo katika baadhi ya maeneo.
Wilaya ya Handeni: Inatarajiwa kuwa na hali ya
mawingu, mvua na ngurumo katika baadhi ya maeneo.
Wilaya ya Kilindi: Inatarajiwa kuwa na hali
ya mawingu, mvua na ngurumo katika baadhi ya maeneo.
KESHO MCHANA
Wilaya ya Tanga: Inatarajiwa kuwa na hali
ya mawingu, mvua na ngurumo katika maeneo mengi na vipindi vifupi vya jua.
Wilaya ya Muheza: Inatarajiwa kuwa na hali
ya mawingu, mvua na ngurumo katika maeneo mengi na vipindi vifupi vya jua.
Wilaya ya Pangani: Inatarajiwa kuwa na hali
ya mawingu, mvua na ngurumo katika maeneo mengi na vipindi vifupi vya jua.
Wilaya ya Lushoto: Inatarajiwa kuwa na hali
ya mawingu, mvua na ngurumo katika maeneo mengi na vipindi vifupi vya jua.
Wilaya ya Handeni: Inatarajiwa kuwa na hali ya
mawingu, mvua na ngurumo katika maeneo mengi na vipindi vifupi vya jua.
Wilaya ya Kilindi: Inatarajiwa kuwa na hali ya
mawingu, mvua na ngurumo katika maeneo mengi na vipindi vifupi vya jua.
|
[Mikoa ya Dar es Salaam na
Pwani]:
[Visiwa vya Unguja na Pemba]:
[Mkoa wa Morogoro]:
|
|
Hali ya mawingu, mvua na ngurumo katika Maeneo mengi na
vipindi vifupi vya jua.
|
|
[Mikoa ya Dodoma
na Singida]:
|
|
Hali ya mawingu, mvua na ngurumo katika maeneo machache na vipindi
vifupi vya jua.
|
|
[Mikoa ya Kilimanjaro, Manyara na Arusha]:
|
|
Hali ya mawingu kiasi, mvua katika maeneo machache
na vipindi vya jua.
|
TAHADHARI:
VIPINDI VIFUPI VYA
MVUA KUBWA VINATARAJIWA KATIKA BAADHI YA MAENEO YA MIKOA YA TANGA,
DAR -ES -SALAAM,
PWANI, MOROGORO, LINDI, MTWARA PAMOJA NA VISIWA VYA UNGUJA NA PEMBA
VIWANGO VYA JOTO, MAWIO
NA MACHWEO YA JUA.
|
MIJI
|
KIWANGO CHA JUU
|
KIWANGO CHA CHINI
|
MAWIO
|
MACHWEO
|
|
Tanga
|
31°C
|
24°C
|
12:29
|
12:34
|
|
Muheza
|
31°C
|
23°C
|
12:29
|
12:34
|
|
Pangani
|
30°C
|
23°C
|
12:29
|
12:34
|
|
Lushoto
|
25°C
|
15°C
|
12:33
|
12:38
|
|
Korogwe
|
30°C
|
21°C
|
12:33
|
12:38
|
|
Handeni
|
29°C
|
20°C
|
12:33
|
12:38
|
|
Kilindi
|
30°C
|
20°C
|
12:33
|
12:38
|
Utabiri huu umetolewa leo tarehe: 20/03/2015.
Na:
MAMLAKA YA HALI YA HEWA TANZANIA.

0 comments:
Post a Comment