Timu ya wataalamu kutoka Wizara ya
Habari wakielekea kukagua mradi wa kilimo cha Tangawizi cha kikundi cha
ujasiriamali cha Ushindi uliopo katika kijiji cha Mkongotema Kata ya
Mkongotema Tarafa ya Madaba Halmashauri ya Songea Jimbo la Peramiho
umbali wa Kilometa 106 kutoka Ruvuma mjini.Kulia ni Mkuu wa Kitengo cha
huduma za Sheria Bi. Ester Riwa na kushoto ni Afisa Maendeleo ya Vijana
kutoka Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo.
Wataalamu Kutoka Wizara ya Habari,
Vijana, Utamaduni na Michezo wakielekea kukagua mradi wa kilimo cha
Tangawizi wa kikundi cha ujasiriamali cha ushindi uliopo katika kijiji
cha Mkongotema Kata ya Mkongotema Tarafa ya Madaba Halmashauri ya Songea
Jimbo la Peramiho uliopo umbali wa Kilometa 106 kutoka Ruvuma mjini.
Wataalamu Kutoka Wizara ya Habari,
Vijana, Utamaduni na Michezo wakiwa katika ukaguzi wa mradi wa kilimo
cha Tangawizi cha Ushindi uliopo katika kijiji cha Mkongotema Kata ya
Mkongotema Tarafa ya Madaba Halmashauri ya Songea Jimbo la Peramiho
umbali wa Kilometa 106 kutoka Ruvuma mjini.
Mradi wa kilimo cha Tangawizi wa
kikundi cha ujasiriamali cha ushindi kilichopo katika kijiji cha
Mkongotema Kata ya Mkongotema Tarafa ya Madaba Halmashauri ya Songea
Jimbo la Peramiho




0 comments:
Post a Comment