KWA WALE AMBAO SIYO MARAFIKI KWA MSEMO WA NIKKI WA PILI "SITAKI KAZI" KUNA MCHONGO WA KAZI HAPA MWISHO WA MAOMBI NI TAREHE 1 DEC 2014 trustedmishen 11/27/2014 07:29:00 PM Add Comment Edit Basically, professionals with this background: Required Skills and Experience Education: At least a Master’s Degree in Business ... Read More
STAIKA WA BASTIA HUKO FRANCE AMEHUKUMIWA KIFUNGO CHA MWEZI 1NA FAINI EURO 20,000 KWA KUMPIGA THIAGO MOTTA ## trustedmishen 11/27/2014 07:12:00 PM Add Comment Edit Mwendesha Mashitaka huko France alitaka Straika huyo anaetoka Brazil mwenye Miaka 34 apewe Kifungo cha nje cha Miezi 8 lakini Mahakama ya... Read More
UWASILISHWAJI WA RIPOTI YA GAG UMEFANYIKA LEO BUNGENI KUHUSU AKAUNTI YA ESCROW ## trustedmishen 11/27/2014 06:53:00 PM Add Comment Edit Mwenyekiti wa kamati ya kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali,Mhe Zitto Kabwe akiongozana na Mbunge wa Jimbo la Tabora Mjini,Mhe. Ismai... Read More
LISTI YA UBORA DUNIANI IMETOKA UJERUMANI NDIO INAONGOZA, TANZANIA IMEPOROMOKA NAFASI 2## trustedmishen 11/27/2014 06:21:00 PM Add Comment Edit FIFA Leo hii imetoa Listi ya Ubora Duniani na Mabingwa wa Dunia Germany wameendelea kushika Namba Moja huku Tanzania ikiporomoka Nafasi 2 ... Read More
WATU 14 WAMEFARIKI DUNIA PAPO HAPO NA WENGINE 22 KUJERUHIWA KATIKA AJALI ILIYOTOKEA ASUBUHI YA LEO WILAYANI MUHEZA MKOANI TANGA ## trustedmishen 11/27/2014 06:06:00 PM Add Comment Edit WATU 14 wamefariki dunia papo hapo na wengine 22 kujeruhiwa baada ya lori kuligonga gari la abiria aina ya Coaster eneo Mkanyageni wilayan... Read More
NUNDU KUWA MGENI RASMI KATIKA ONESHO LA USIKU WA WAZEE NOVEMBA 30 TANGA ## trustedmishen 11/25/2014 06:15:00 PM Add Comment Edit MBUNGE wa Jimbo la Tanga,Omari Nundu anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika onyesha maalumu ya usiku wa wazee ambalo linatarajiwa kufanyika ... Read More
UPO UWEZEKANO MKUBWA WA TIMU KUSAMBARATIKA MTU ASIPOFUZU LEO NGOMA NGUMU DIMBANI CITY NA BAYERN ## trustedmishen 11/25/2014 05:15:00 PM Add Comment Edit MECHI ZA LEO JUMANNE 20:00 FC BATE Borisov - Belarus vs FC Porto - Portugal 20:00 CSKA Moskva – Russia vs AS Roma - Italy ... Read More
TFF INAWAOMBA WATANZANIA KUIPIGIA KURA JEZI YA TIMU YA TAIFA ## trustedmishen 11/25/2014 04:58:00 PM Add Comment Edit Watanzania wanatakiwa kupigia kura jezi ya timu ya Taifa ya nyumbani na ugenini kupitia mtandao wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (... Read More
WAUGUZI KUTOKA MKOANI TANGA WILAYA YA KOROGWE WAMEONGEZEWA UJUZI NA CHAMA CHA WAUGUZI TANZANIA ## trustedmishen 11/25/2014 04:34:00 PM Add Comment Edit Wauguzi mbalimbali hispotali na vituo vya Afya Wilayani Korogwe Mkoani Tanga wakiwa katika picha ya pamoja mara baada ya kongamano ... Read More
WAFANYABIASHARA NA WAWEKEZAJI KUTOKA UBELGIJI WATEMBELEA MAENEO YA UWEKEZAJI BAGAMOYO ## trustedmishen 11/25/2014 04:30:00 PM Add Comment Edit Mkuu wa Mkoa wa Pwani, Mwantumu Mahiza akiukaribisha ujumbe wa Wafanyabiashara na Wawekezaji kutoka Ubelgiji ambao wametembelea m... Read More